Wananchi wa kijiji cha Mfereke wamejenga jengo hili kwa nguvu zao wenyewe.fedha za ruzuku ya maendeleo,msaada toka kwa Kamanda wa UVCCM wilaya ya Njombe ndg.Deo Mwanyika,Mhashamu Baba Askofu Alfred Maluma,WAWATA Jimbo Katoliki la Njombe,Ndg.James Mwinuka(GAPCO),Mh.Coleta Nyigu diwani wa viti maalum Igominyi ,diwani wa kata ya Utalingolo Mh.Fwalo na wadau wengine wa maendeleo.Tunawakaribisha wadau mbalimbali watusaidie kwa michango mbalimbali waendelee kutuunga mkono.
0 comments:
Post a Comment