Ads 468x60px


Utalingolo,njombe,tanzania.

Thursday, December 13, 2012

MRADI WA MAJI IHALULA WACHANGAMKA

 DIWANI WA KATA YA UTALINGOLO (KATIKATI) AKIUNGANISHA MIPIRA YA MAJI KWA STRAIGHT CONNECTOR KWA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WAKO.
  DIWANI WA KATA YA UTALINGOLO (KUSHOTO) AKIUNGANISHA MIPIRA YA MAJI KWA STRAIGHT CONNECTOR KWA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI WAKO.

 DIWANI WA KATA YA UTALINGOLO  AKIANGALIA SEHEMU  ITAKAPOJENGEWA PAMPU YA MAJI


   
 
 DIWANI WA KATA YA UTALINGOLO (KATIKATI) AKIFUKIA MIPIRA YA MAJI KWA USHIRIKIANO NA WANANCHI WAKE





WANANCHI WA IHALULA WAKIWA WAMEJITOKEZA KWA WINGI KATIKA KUJILETEA MAENDELEO YAO KWA MOYO WAO WOTE.HAPA WANAFUNIKA MABOMBA YA MRADI WAO WA MAJI


 DIWANI WA KATA YA UTALINGOLO (KATIKATI)AKIJADILIANA JAMBO NA FUNDI MKUU WA MRADI NDG OWEN MLOWE (MTUMISHI WA MISSION YA UWEMBA).KULIA NI NDG JOSEPHAT MYONGA MWAKILISHI WA KIGANGO CHA KANISA KATOLIKI CHA IHALULA KATIKA MRADI HUU

1 comments:

Lydia Mligo said...

Bi gapu Diwani wa Utalingoro, Ari na nguvu mpya

Post a Comment