HILI HAPA NI BANGO LA MRADI Tanki hili limejengwa katika kijiji cha Lugenge ambako mradi unampita kuto...
Monday, December 3, 2012
HIKI NI CHANZO CHA MTO MANGALA-UTALINGOLO
HAPA NDIPO MRADI WA MAJI YA HYDRUM KWA AJILI YA KITUO CHA AFYA CHA IHALULA YATAKAPOCHUKULIWA.WANANCHI WAMECHIMBA MTARO NA MAWE TAYARI UJENZI WA MRADI KUANZA WIKI IJAYO.
0 comments:
Post a Comment