Ads 468x60px


Utalingolo,njombe,tanzania.

Monday, December 3, 2012

UJENZI WA NYUMBA ZA WATUMISHI KITUO CHA AFYA IHALULA WAENDELEA KWA KASI






Wananchi wa kijiji cha Ihalula Kata ya utalingolo wilaya ya Njombe wamedhamiria kufikia maendeleo kwa nguvu zao wenyewe kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.Hii ni hatua waliyoifikia katika ujenzi wa nyumba za watumishi wa idara ya afya ili kiwe kivutio kwa watumishi hao kukaa kituoni hapo.

0 comments:

Post a Comment